Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,134
- 55,114
Usinambie huwezi?round 2 au 3 hivi . Ila watu wana nguvu aisee.. wa team nusu baoo.. hiyo point imekuwa haitekelezeki
Shibela avatar yako inanitishaπ₯ΊAndiko Safi Sana hili!
Tuache kuwaza mikeka yetu sio?
π€π€π€π€Moderator ndo walitengeneza hicho kidude!Hiyo mimacho!!
They call it, Bodaboda wanguunafanya yote hayo na wahuni wanaichapa tu watakavyo
πHujui kama asubuhi wengine tunatorokana
Me na wewe tuanze kutekeleza hio namba 8 πAngel Nylon pitia hapa...
Hiyo 7 kwanzaπ€£π€£π€£ hii ya sita nayo sio powa
Sawa.. Now now... Na nataka nikufanyie zote moja mpaka nane...Me na wewe tuanze kutekeleza hio namba 8 π
Hio ya kwanza hio π€Sawa.. Now now... Na nataka nikufanyie zote moja mpaka nane...
Najua ulichowaza, kwenye kukugoesha lazima nikusugue sehemu muhimu...Hio ya kwanza hio π€
Nimewaza ujinga ujinga tu π€£
mie dk moya nyingi, ikiingia na hapo hapo kazi imeishaaa, then naamba piga deki hadi nae akojoe, then tunalala π πUsinambie huwezi?