lendila
JF-Expert Member
- Sep 26, 2012
- 5,806
- 4,370
Mh,spika wa bunge la jamhuri ya muungano kwa masilay ya taifa ruhusu bunge liruke live kwenye mjadala wa wizara ya nishati na madini kwa faida ya taifa,mh spika leo siku nzima wananchi wanaongelea wizara ya nishati na madini,kwa hivyo itakuwa ni busara kubwa sana wananchi siku ya jumanne kujua wawakilishi wao watajadili nn kwenye wizara hii nyeti kwa taifa