Kwa diplo za afya wadau

Kwa diplo za afya wadau

ommky

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
459
Reaction score
225
ivi diploma ya medical lab, pharmacy, clinical medicine na nursing ni ipi ina lipa sana kitaa kwa maslahi ya hela???
 
ivi diploma ya medical lab, pharmacy, clinical medicine na nursing ni ipi ina lipa sana kitaa kwa maslahi ya hela???
pharmacy nzuri sana ina wigo mpana zaidi unaweza kujiajiri au kuajiriwa.
Kama unataka kuwa dokta kasome clinical medicine,lab na nursing zipo vizuri ila achana nazo
 
naskia lab kweli ndio ina maslahi makubwa xana
 
watu wanacheza na party time amadoli....... iyo ndio ina kupa viji party time
 
Back
Top Bottom