Kashaija72
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,031
- 4,869
Manual nzuri asee, inafanya dreva anakuwa na full control ya gari. Inamjenga mtu kuijua gari vizuuri sababu gari inamtegemea dreva %.Manual compilation tu kufanya udereva uonekane mgumu.
Tunaenda era ya Autopilot mkuu achana na mapeda matatu.
Watakuja wafia manual hapa wazeewa realmendrivestick
Manual inaendeshwa kwa miguu (pedals), mikono (usukani na gear stick) na masikio (muungurumo wa engine) wakati auto ni layman's toy.
Huyo mdada akajifunze manual, auto ataijua automatically.