Wadau, mbona mmemshukia Kunguru mweusi kama mwewe ashukiavyo kifaranga? Ameelezea hisia zake tu.[/QU
îmba sana taarabu zako,kidole hicho kinakuja segerea,huyo mwizi wenu baada ya hukumu cd4 ndo zitashuka hadi 2 kama sio kwisha kabisanamuonea huruma sana rafiki yangu Mnyika,sijui ataishije hapa mjini maana ni wazi ili jimbo anapoteza.
we ndezi unanitafutia ban eeh? tukutane segerea leo kwenye kidukuKila ninapopita ktk Ofisi za CCM Ubungo siku 2 hizi, nahisi kuna jambo kubwa linaweza kutokea Jimboni hapo.
Furaha na maandalizi ya hapa na pale yanaandaliwa.
Ofisi zinaonekana kama zinasafishwa safishwa, matawi vile kama yanaanza kufufuliwa, hamasa za chama zinaanza kuonekana ambapo kwa kipindi kirefu kiltoweka.
kwa haraka haraka unaweza ukahisi kuna harakati kubwa za kisiasa zinaweza kutokea kipindi kifupi baadae
JEE HICHI NDICHO KITACHMUANGUSHA MNYIKA KTK KESI YAKE:
kukiri kwa Mnyika Mahakamani tofauti ya kura zaidi ya 14,000 inayoonekana katika fomu iliwasilishwa mahamani
Kutumika komputa yake kuhesabiwa kura
kukerwa kwa Jaji Msuya jinsi Mnyikai alivyokuwa akijibu maswali mbalimbali ya Wakili wa mlalamikaji, Issa Maige,
Usafi ni jambo la msingi na la kawaida,unauhusisha vipi usafi wa jengo la ccm na kesi ya Mbunge Wa Chadema John Mnyika?Unatutafutia ban au?
Mbona haya hawakuyasema wakati wanaomba kura??? Kama walijua hivyo wangeomba kazi ya ubunge kupitia chama tawala. Wapiga kura tunataka matokeo kwani waliomba kazi ya ubunge tukawapa kwa majukumu tuliyokubaliana hivyo wakishindwa kuyatekeleza maana yake hawawezi kazi ya ubunge.......hawatufaiNamkubali sana Mnyika, anajitahidi lkn kumbukeni wabunge Wa upinzani wanapata wakati mgumu kutekeleza majukumu yao hasa pale decision inapotoka serikalini tofauti na wenzao wa CCM ambao wanafanyiwa chapchap kujipa maujiko!
he might have a point, as kikubwa kinachomtia mnyika matatizoni ni kutumika kwa kompyuta zake binafsi katika kufanya majumuisho ya kura..hapo tu ndio pabaya..NEC ndio watakaoweza kurepair the damage..
Kila ninapopita ktk Ofisi za CCM Ubungo siku 2 hizi, nahisi kuna jambo kubwa linaweza kutokea Jimboni hapo.
Furaha na maandalizi ya hapa na pale yanaandaliwa.
Ofisi zinaonekana kama zinasafishwa safishwa, matawi vile kama yanaanza kufufuliwa, hamasa za chama zinaanza kuonekana ambapo kwa kipindi kirefu kiltoweka.
kwa haraka haraka unaweza ukahisi kuna harakati kubwa za kisiasa zinaweza kutokea kipindi kifupi baadae
JEE HICHI NDICHO KITACHMUANGUSHA MNYIKA KTK KESI YAKE:
kukiri kwa Mnyika Mahakamani tofauti ya kura zaidi ya 14,000 inayoonekana katika fomu iliwasilishwa mahamani
Kutumika komputa yake kuhesabiwa kura
kukerwa kwa Jaji Msuya jinsi Mnyikai alivyokuwa akijibu maswali mbalimbali ya Wakili wa mlalamikaji, Issa Maige,
Kunguru weusi wanakula sana uchafu!!
Halafu wana tabia za wizi!