Nishawaletaga ...ila kwa sababu nisiyoijua wamechagua kuishi mikoani
Ukienda sasa Manzese hadi hoho ya 50 unapata, nazi kipande unauziwa buku tu inatosha kula wali nazi๐๐๐Kweli dar kulala njaa umetaka, make miguu ya kuku sh mia, kichwa mia mbili, maini, firigisi na utumbo mia tatu
Fungu la mboga mboga 200, na kuna vi mishikaki vya sh 100 sijui vya mnyama gani ila ni vi mishikaki unalalaje njaa sasaUkienda sasa manzese hadi hoho ya 50 unapata, nazi kipande unauziwa buku tu inatosha kula wali nazi๐๐๐
Fungu la mboga mboga 200, na kuna vi mishikaki vya sh 100 sijui vya mnyama gani ila ni vi mishikaki unalalaje njaa sasa
Sijazaliwa dsm, ila nimeishi dsm tangu maisha yangu ya sekondari, high school hadi university, na nikaanza kufanya kazi hapo enzi hizo serikalini, na ilipofika mwaka 2012, na kwa mara ya kwanza kabisa nilinunua kiwanja mil.12 kimara. mdogomdogo nikaendelea wee ila ikafika kipindi nikaondoka na kuhamia mkoani ndiko niliko hadi sasa.Ukiwa mrembo na unataka kutoka ki maisha njoo Dar