KITALIKA Titho E
Member
- Jun 25, 2019
- 14
- 20
BAVICHA IMARA, KIHARAKATI NA KITAASISI.
Uchaguzi 2019 twende na CPA Kitalika, Titho.E
CPA Kitalika, Titho.E ni mwanachama wa CHADEMA kadi namba 223075 Tawi la MWINYIJUMA wilaya na Mkoa wa kichama wa Kinondoni. Amezaliwa tarehe 5/3/1991 na kujiunga na chama tarehe 11/1/2011.
Kazi ndani ya Chama.
2010/2011: Wakati akiwa mwanafunzi wa A’level wakati wa likizo alishirikiana na viongozi wa Chama wilaya ya Mufindi Kueneza chama katika majimbo ya Mufindi Kusini na Kaskazini.
2012: Alikuwa mwenyekiti wa CHADEMA NI MSINGI kata ya Mtwango katika jimbo la Mufindi Kusini na ameshiriki kuaanzisha matawi imara na tegemeo kwa chama katika jimbo la Mufindi Kusini mfano Nyololo na Ihowanza.
2013: Ameshiriki katika uchaguzi mdogo wa udiwani katika kata ya Themi Jimbo la Arusha Mjini, alichaguliwa kuwa mwenyekiti wa CHASO tawi la Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), alishiriki kuanzisha CHASO MKOA WA ARUSHA na alichaguliwa kuwa mratibu wa kwanza wa CHASO Mkoa wa Arusha.
2014: Ameshiriki kutafuta wanachama na kuwapa kadi katika jimbo la Longido Mkoa wa Arusha, ameshiriki kampeni za uchaguzi serikali za mitaa katika Jimbo la Nyang’wale, Arumeru Magharibi na Arusha Mjini na Alichaguliwa kuwa mratibu wa CHASO Mkoa wa Arusha kwa mara nyingine.
2015: Alishiriki kampeni za ubunge katika jimbo la Mafinga Mjini kama mjumbe wa kamati ya kampeni na kuzunguka na mgombea ubunge na madiwani katika kata zote sita za jimbo. Na mara kadhaa katika jimbo la Mufindi Kaskazini.
2016/2019: Ameshiriki katika uchaguzi mdogo katika kata jimbo la Kibamba, Ameshiriki pia katika uchaguzi wa marudio wa jimbo la Kinondoni katika kampeni za nyumba kwa nyumba katika kata ya Hananasifu.
2019: Ameshiriki katika kuwezesha viongozi wa chama kata ya Mtwango Jimbo la Mufindi kusini wanapata wagombea katika uchaguzi wa serikali za mitaa na vijiji.
Nje ya Chama
2008/2009 - Amekuwa kiongozi katika serikali ya wanafunzi shule ya sekondari Mdabulo
2010/2011 - Amekuwa kiongozi wa Afya na Mazingira shule ya sekondari Azani.
2012/2013 - Amekuwa mwakilishi wa Taaluma wa Darasa (Uchumi na Fedha) katika Kamati ya Taaluma ya Serikali ya wanafunzi.
Kielimu:
2018/2019: MBA Corporate Management (IP)-Mzumbe University
2016/2018: Certified Public Accountant (CPA)-National Board of Accountants and Auditors.
2012/2015: Bachelor of Economics and Finance-Institute of Accountancy Arusha
2006/2012: O’level & A ‘level- Mdabulo Secondary School/Azania High School