kwa Bakhresa ndo nini wakati wa malavidavi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwa Bakhresa ndo nini wakati wa malavidavi?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Plato, Feb 3, 2011.

 1. Plato

  Plato JF-Expert Member

  #1
  Feb 3, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 421
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 33
  ndugu,naishi nyumba za kupanga uswahilini.sasa nje ya dirisha langu hukaa wakina mama nikiwa nimepumzika ndani.wanaongea hao nami nawasikia.lakini sina mazoea nao.sasa juzi nilisikia mmoja anamwambia mwenziye umuhimu wa kula kwa bakhresa wakati wa tendo.sikuelewa hicho nini.ukiacha mizaha ya baadhi yetu,kuna maarifa muhimu nayapata humu jamvini.nisaidieni
   
 2. k

  kisukari JF-Expert Member

  #2
  Feb 3, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,479
  Likes Received: 709
  Trophy Points: 280
  mmmh,mimi nilisikia bakhresa ni nanihii,isije ikawa wanakusudia nanihii?nafikiri utakuwa umeelewa.haina haja ya kuchambua
   
 3. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #3
  Feb 3, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,700
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  itakuwa ndo hiyohiyo naniii!
   
 4. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #4
  Feb 3, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mkuu hiyohiyo nini, tueleweshane... isijetokea siku moja nimechukua demu wa uswazi ananiambia anataka kula bakresa mimi nashangaa!!!
   
 5. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #5
  Feb 3, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,141
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 160
  We mkubwa sasa bana huajelewa tu
   
 6. vkeisy2006

  vkeisy2006 JF-Expert Member

  #6
  Feb 3, 2011
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 205
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  bhakhresa ni mwarabu.......na waarabu wanasifika kwa kupenda nini.....kuna mawili sasas hapo either wanamaanisha kule kunakotoa hajakubwa au wanamaanisha kuenda kuramba koni kile kiungo cha uzazi cha mwanaume....maana BHAKhRESA huyo huyo nae anatengeneza koni icecream ramba ramba ball koni zina chocolate kuila lazima baadae uilambe.....
   
 7. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #7
  Feb 3, 2011
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 7,581
  Likes Received: 3,876
  Trophy Points: 280
  duuu, dunia ina mambo
   
 8. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #8
  Feb 3, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,826
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  koni ya bakhresa lzm ilambwe ndo manaake
   
 9. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #9
  Feb 3, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,700
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  mkuuu si ujue anataka kula koni! sorry kulamba!
   
 10. Eng. Smasher

  Eng. Smasher JF-Expert Member

  #10
  Feb 3, 2011
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 746
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Duh! Ni kweli huwezi kuliziba jua na ungo!

   
 11. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #11
  Feb 3, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,561
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  jamani acheni kuumiza vichwa kupotosha lugha kwa bakresa ni kula koni, icecream, lamba lamba thats all akuna la nyongeza wakuu
   
 12. Desidii

  Desidii JF-Expert Member

  #12
  Feb 3, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 1,212
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hata mie ndo naisikia leo ndo nini mbona hamjatoa majibu
   
 13. Mamushka

  Mamushka JF-Expert Member

  #13
  Feb 3, 2011
  Joined: Feb 17, 2010
  Messages: 1,610
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kula koni haaaa tena ile yenye chocolate juu nimawazo yangu sijui.
   
 14. k

  kisukari JF-Expert Member

  #14
  Feb 3, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,479
  Likes Received: 709
  Trophy Points: 280
  muulizacswali ameuliza,umuhimu wa kula kwa bakhresa wakati wa tendo,ndio maana unahisi nanihii.ingekuwa amesema kwenda kwa bakharesa kula koni,ingeeleweka vyengine.kila kukicha nanihii inakuwa na majina mengi
   
 15. Mr.Professional

  Mr.Professional JF-Expert Member

  #15
  Feb 3, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 1,601
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Hilo mbona lipo wazi sana! Backresa anatengeneza con hizo wanazoita lambalamba sasa mbona ugumu wa kuchanganua siuoni hapo? We demu wako akikuomba backresa ungempa nini kama sio con alambe?
   
 16. G

  GodfreyTajiri JF-Expert Member

  #16
  Feb 4, 2011
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 742
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 45
  mambo ya "alamba, alamba..." hayo
   
 17. Chapa Nalo Jr

  Chapa Nalo Jr JF-Expert Member

  #17
  Feb 4, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 5,630
  Likes Received: 2,078
  Trophy Points: 280
  Sijui nitahama lini uswazi, kunanifurahisha sana, mademu hawaombi hela kubwa bali husema, "naomba sh`ngi mia", kila mtu anafungua mziki kwa sauti ya juu yaani ni vurugu na furaha tupu, mwingine taarabu, mwingine bongo fleva, Rose Mhando, Ali Choki, Wazee wa Masauti nk.


  Nyumba za ku-share kupika ni kwenye korido, mwingine anapika nyama, mwingine matembele, mwingine hana cha kupika katumbua macho tu nk.

  Kero ni harusi za Kizaramo, wanakodi muziki mkubwa wanapiga siku mbili kabla ya harusi, wanakatika viuno usiku kucha, yaani hapo ndio kero kubwa.
   
 18. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #18
  Feb 4, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,339
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135


  kiongozi hapo tu ndo umegusa ikulu!!!!!!!lol....
   
 19. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #19
  Feb 4, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,753
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Jamni Bakhresa si anakiwanda cha Koni labda kula koni ya kikubwa lol :coffee::coffee:
   
 20. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #20
  Feb 4, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,507
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 0
  SIO KONI USIKREM NI MTANDAO WA NUSU SHILINGi
   
Loading...