Kwa BAGAMOYO MJINI

Kwa BAGAMOYO MJINI

Akademician

Senior Member
Joined
May 20, 2015
Posts
143
Reaction score
36
Habarini wakuu.

NAHITAJI chumba kimoja cha kupanga Bagamoyo MJINI.

Kiwe MAENEO ya KARIBU Na shule ya sekondari ya EAGLES,
Kiwe Na umeme Na MAJI yapatikane.

Nyumba husika isiwe Na WATU WENGI Na mikusanyiko ya Mara kwa Mara.
Na isiwe SEHEMU ya BIASHARA kama duka, mgahawa, grocery, genge n.k in short yasiwe MAENEO yenye pilikapilika Na ghasia,
Bali yawe tulivu.

AHSANTENI.
 
Back
Top Bottom