kwa babu loliondo video | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwa babu loliondo video

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kilimasera, Mar 16, 2011.

 1. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #1
  Mar 16, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mamia ya watu wameendelea kumiminika Loliondo kufuata dawa ya babu mchungaji mstaafu Ambilikile Mwasapile ambazo zinadaiwa kutibu magojwa sugu, wakati huo huo orijino komedi nao hawajakaa nyuma wametoa video kuhusiana na tiba ya babu ambayo imekuwa gumzo kubwa nchini.
  Mamia ya watu wameendelea kwenda Loliondo kumuona babu ambaye bila kuchoka ameendelea kutoa dawa ambazo zimedaiwa kutibu magonjwa mbali mbali sugu kama Ukimwi, kisukari, shinikizo la damu na mengineyo.

  Kuna foleni kubwa ya magari yanayoenda Loliondo kwa babu ambapo wagonjwa mbali mbali wengine wakiwa mahututi wamekuwa wakiwasili wakiwa wamebebwa na dugu zao.

  Baadhi ya wagonjwa wamekimbia tiba walizokuwa wakipewa hospitalini na kukimbilia kwa babu wakiamini kikombe kimoja cha dawa za babu kitasaidia kuyaondosha magojwa waliyo nayo.

  Angalia Video ya kipindi maalumu cha televisheni ITV kuhusiana na tiba ya babu mchungaji Mwasapile na Video ya pili ni Video ya kundi la kuvunja mbavu la Orijino Komedi ambalo nalo halijakaa kimya kutoa video kuhusiana na tiba ya babu ambayo imekuwa gumzo kubwa sana nchini.  ze comedy nao kwa babu yao Joti


   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. ghumpi

  ghumpi Senior Member

  #2
  Mar 16, 2011
  Joined: Nov 10, 2009
  Messages: 187
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Thanks Kilimasera kwa video hizi tukuka
   
 3. Tonge

  Tonge JF-Expert Member

  #3
  Mar 16, 2011
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Umati huo waote wanatafuta uponyaji, kisha mjinga mjinga mmoja tena fisadi anasema dawa ya baubu haiponyi, Mungu anawapenda watu wake na wakati wa uponyaji ni huu, asiye amini basi na aendelee kuteketea.
   
 4. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #4
  Mar 16, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Jamani loliondo matumaini ya wengi
   
 5. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #5
  Mar 16, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  tuombe mungu asimchukue babu mapema!
   
 6. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #6
  Mar 16, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Haswa! maana hapa napanga nakupangua huyu mkoloni nimuageje.
  Kila nikijaribu mbili haikai tatu haikai kizunguzungu kinanipata,
  Hasa nikifikilia ile meli,
  Isijefika kabla cjaenda huko
   
 7. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #7
  Mar 16, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  pole man na kwani likizo inaanza lini?subiri tu likizo maana ukienda kwa babu uhesabu na siku za kukaa kwenye foleni si unaona watu walivyo wengi!
   
 8. M

  Maimai Senior Member

  #8
  Mar 16, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 174
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kill the messenger
   
 9. R

  Reena Member

  #9
  Mar 16, 2011
  Joined: Jul 2, 2008
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Usijali foleni imeanza kupungua kuna ndugu yangu aliondoka Arusha jpili usiku saa 3 akafika saa 12 asubuhi jtatu mchana saa 7 akanywa dawa then saa 8 mchana wakaondoka jtatu hiyo then usiku wa manane wapo arusha washarudi na dawa wamekunywa wao gari yao ilikuwa ya 200 walipofika hiyo saa 12 asubuhi
   
 10. Ba Martha

  Ba Martha JF-Expert Member

  #10
  Mar 16, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Babu wala hana hata muda wa kubishana sijui eti na mwingira ..cijui kakobe..rosttamu...ye ni kazi tu..big up babu..may god bless you.:lol:
   
 11. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #11
  Mar 16, 2011
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,513
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Unajua hawa wengine walishazoea kubishana sasa wanafikiri babu naye atafuata mkumbo kwanza kijijini kwake hakuna TV!!
   
 12. m

  mams JF-Expert Member

  #12
  Mar 16, 2011
  Joined: Jul 19, 2009
  Messages: 615
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Wanaodharau hiyo tiba na waendelee kwa nafsi zao. Watu wanaendelea kupona kwa hiyo miujiza na ni kupoteza muda kuwajadili akina RA na Mwgr kwa kuwa hawana mbadala wa hiyo miujiza
   
 13. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #13
  Mar 16, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Babu hawezi bishana sababu sio mwanasiasa kama kina kakobe ambao wanasema ccm na tanesco mwogopeni mungu!
   
Loading...