Kwa ataayenipigia kura, donge nono kutolewa.

We Erickb52 nakuona unampigia kampeni mkeo Remmy
Mi sikubaliani na hilo maana kampeni haziruhusiwi
halafu mbone sikusomi siku hizi aise au umefulia na baba mkwe kashakupokonya kisimu chako kisa unakaa na mtoto wake bila kutoa mahari Nicas Mtei niaje aise
 
Last edited by a moderator:

Hahahaha. Naona umeamua kumuumbua kijana Erickb52.

Mi niko poa sana. Vp mbona umeadimika sana Mr Rocky?
 
Last edited by a moderator:
Aise Nicas Mtei nahitaji kilonga longa chako aise hebu kitupe kwenye Pamoja Mtaani Erickb52 ana matatizo sana aise
anadaiwa mahari sijui mwaka wa tano sasa na hapa anakuja kutuomba tumpigie kura mke ambaye hajaidhinishwa kwake

Usijali Mr Rocky nakuPitia Mtaani. Huyo Erickb52 ana matatizo bnafsia. Halafu baba mkwe wake ni Mtata kinyama yani.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom