Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,775
- 3,610
Jamani mi naomba kura we unaona kichekesho. Nipigie kura wangu.
Haya ntakupigia wangu...usijali
Jamani mi naomba kura we unaona kichekesho. Nipigie kura wangu.
Muda unayoyoma plz nenda nipigie sasa. Saa Tisa kura zinafungwa.
Hii ni platform ya kampeni tu
Vipi kura tayari?
Nilishapiga tayari bby ngoja nkapige tenaNajua ushapiga kura hubby.
Ya Jina Remmy.
Nimepiga bby wangu ila twende tukazisimamie hadi ushindehujapiga kura honey!