Kwa ataayenipigia kura, donge nono kutolewa.

Hi Love!
Nimeshaongea na hawa wafuatao na wameahidi kukupigia kura hata kama nao ni washiriki wa shindano
Kwanza muandaaji mwenyewe Ruhazwe JR , Kongosho sweetlady cacico BADILI TABIA Asprin (Kabadili msimamo wa kumpigia BADILI TABIA ) Kaizer na mkewe gfsonwin C6 na mkewe mtarajiwa charminglady FirstLady1 stevoh watu8 PakaJimmy Bishanga The secretary (Mke mwenzio) Erotica Nicas Mtei (Shemeji yako) BAGAH Young_Master Excellent Elia Madame B Eiyer Zinduna (Hajambo kwa sasa), ruttashobolwa Baba V Vin Diesel Kipipi (Popote alipo) KakaKiiza Preta mtu chake figganigga Judgement na mkewe beibe nasty Smiling Saint TANMO Mr Rocky na mkewe Yummy Katavi na Roulette Mamndenyi na King'asti wamesema wao uhakika ila wanaendelea kuwashawishi Mtambuzi na Boflo wakupigie pia.
Niko nawasiliana na AshaDii na Catherine waje hapa kukupa sapport.
So ushindi ni wako bby wangu wala usihofu.
nasikia kura kura. hivi hizo kura wanapigaje?. halafu mimi donge nono nilikua naisoma kama penzi nono. mia
 
Wanachitchat
Mie ni mgombea wa miss chitchat though ni mrs ErickB52 tayari. Naombeni kura zenu, hakika nawaahidi donge nono, free full Internet, parties kwa sana, bia na nyagi za kufa mtu, nyama ya digidigi kutoka kule Mofu,nitamleta mrembo Wema Spade live humu chitchat, shehe Ponda, Mwigulu na Nape muwaone wanavojiachia..... yaani kutakuwa na full shangwe pindi mkinipa nafasi ya kulitwaa hili taji, hakika hamtajuta kunivalisha taji.
Sifa zangu atazitoa my burning heart ErickB52 na waume wenzake PakaJimmy na Kaizer.

Kwa wale ambao hawatonipigia kura nitawapeleka mabwepande kwa kazi maalumu.
Naomba kura zenu!

wewe umeshakuwa kitoweo cha muandaaji wa mashindano, hehehe hongera hashim Ruhazwe JR Lundenga kwa kujitwalia mzigo dezo dezo
 
Last edited by a moderator:
wewe umeshakuwa kitoweo cha muandaaji wa mashindano, hehehe hongera hashim Ruhazwe JR Lundenga kwa kujitwalia mzigo dezo dezo

Kwani kanibeba?
Si watu wamepiga kura jamani.
 
Last edited by a moderator:
Remmy hujui kusoma, hata picha unashindwa kuiona. Mi nasema Ruhazwe JR aka Wakati ni sasa uyu jamaa ni joka tena la kibisa kuanzisha mashindano apate mademu, dada Remmy siku c nyingi utaanza kuwa unapiga deki kwake, utafua, mwisho utahamia kwake kabisa
 
Last edited by a moderator:
wewe umeshakuwa kitoweo cha muandaaji wa mashindano, hehehe hongera hashim Ruhazwe JR Lundenga kwa kujitwalia mzigo dezo dezo

ha,ha,ha...ntakufungulia mashitaka kwa kuzusha mambo usiyokua na ushahidi,kwa kua hata hukujitokeza kupiga kura,na hukua mshiriki ktk kuwania taji.lete ushahidi wa tuhuma ulizotoa
 
Last edited by a moderator:
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom