Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,117
- 49,474
unataka uchat na wasichana au jinsia zote? harafu uweke picha naweza jikuta nachat na babu wa miaka 70 au katoto ka miaka 12
bora hata uchat na babu atakugawia busara zake kuliko katoto ka dot com