Mkuu show room gani wana utaratibu huo?nenda show room
Hi, mim ni mwajiriwa kampuni binafsi, nataka nunua gari dgo kama vits na starlet, badget yangu haizid milion 6, ila ntangulize 1.5m then nitoe laki 5 kila mwezi mpaka deni liishe. Kwa aliye tayari na mpango huu ani pm tuelewane. Hata kama documents ,zote za gari atabaki nazo
for sale 4.5 milion cash ...call 0684885441 or 0714604974
4View attachment 100099
Kaka cash mpaka sasa nina 2m, nyingine naweza lipa kila mwezi laki sita mpka deni liishe . Tafadhali kama uko tayari ni pm kwa maelezo zaidi
Sasa si umpigie uongee nae?
Nenda kwa loan sharks ila watakunyoosha. Bora ujipange tu. Hizo 2M nunua dola uweke uvunguni. Zikifika kiasi unanjnua ndinga yako. Usiwe na pupa
Hi, mim ni mwajiriwa kampuni binafsi, nataka nunua gari dgo kama vits na starlet, badget yangu haizid milion 6, ila ntangulize 1.5m then nitoe laki 5 kila mwezi mpaka deni liishe. Kwa aliye tayari na mpango huu ani pm tuelewane. Hata kama documents ,zote za gari atabaki nazo
Kaka cash mpaka sasa nina 2m, nyingine naweza lipa kila mwezi laki sita mpka deni liishe . Tafadhali kama uko tayari ni pm kwa maelezo zaidi
fanya mipango ya kujenga nyumba yako ili uondokane na mambo ya kupanga, GARI YANINI? unaongeza gharama tu.
Mkuu show room gani wana utaratibu huo?
Una uhakika hana nyumba?