Kwa anayetafuta binti wa kazi za steshenari, Mimi nipo tayari

swagy

Senior Member
Jan 23, 2018
131
201
Wakuu habari za leo, Mimi ni binti wa miaka 22 mwenye elimu ya kidato Cha nne, nimesomea kozi ya Human Resource Management, pia ninao ujuzi wa kutumia kompyuta pamoja kusimamia maswala ya steshenari .

Kutokana na uhaba wa ajira kulingana na kozi niliyosomea , niliamua kusoma kozi fupi ya computer applications, hivyo kwa mtu yeyeto anayetafuta mfanya kazi wa steshenari Mimi niko tayari, itapendeza zaidi kazi ikipatikana maeneo ya mikoa ya Mwanza, Geita , Simiyu na Musoma.

Kwa anayehitaji mfanyakazi anifate in box.

Nb sitaweka namba zangu za simu ili kuepuka usummbufu kwa watu wasio na nia njema.

Nawategemea sana ndugu zangu
 
Mume hatafutwi Mkuu, laa utajikuta unazini na Kijiji kizima kwa lengo la kutafuta mme.by the way wewe umejuaje kuwa Sina mme,Kuna sehemu nimesema sijaolewa

Mimi natafuta kazi jamani
Utani tu, don't take it serious
 
Mume hatafutwi Mkuu, laa utajikuta unazini na Kijiji kizima kwa lengo la kutafuta mme.by the way wewe umejuaje kuwa Sina mme,Kuna sehemu nimesema sijaolewa

Mimi natafuta kazi jamani
Unamudu kazi zote za stationery? Mfano Kuprint, kutengeneza card mbalimbali, ku design logo na vipeperushi mbalimbali, kutengeneza business cards, vitambulisho, nk.

Na ikitokea ofisi iko Dodoma au Moro utaweza kutoka huko uliko?
 
Binadamu si chochote, mtegemee Mwenyezi Mungu.
Wakuu habari za leo, Mimi ni binti wa miaka 22 mwenye elimu ya kidato Cha nne, nimesomea kozi ya Human Resource Management, pia ninao ujuzi wa kutumia kompyuta pamoja kusimamia maswala ya steshenari .

Kutokana na uhaba wa ajira kulingana na kozi niliyosomea , niliamua kusoma kozi fupi ya computer applications, hivyo kwa mtu yeyeto anayetafuta mfanya kazi wa steshenari Mimi niko tayari, itapendeza zaidi kazi ikipatikana maeneo ya mikoa ya Mwanza, Geita , Simiyu na Musoma.

Kwa anayehitaji mfanyakazi anifate in box.

Nb sitaweka namba zangu za simu ili kuepuka usummbufu kwa watu wasio na nia njema.

Nawategemea sana ndugu zangu
 
Unamudu kazi zote za stationery? Mfano Kuprint, kutengeneza card mbalimbali, ku design logo na vipeperushi mbalimbali, kutengeneza business cards, vitambulisho, nk.

Na ikitokea ofisi iko Dodoma au Moro utaweza kutoka huko uliko?
Mlete moro bwana nitampokea mie vizuri tuu
 
Unamudu kazi zote za stationery? Mfano Kuprint, kutengeneza card mbalimbali, ku design logo na vipeperushi mbalimbali, kutengeneza business cards, vitambulisho, nk.

Na ikitokea ofisi iko Dodoma au Moro utaweza kutoka huko uliko?
Kuprint, kutengeneza kadi naweza, Ila kutengeneza logo bado sijakuwa na huo utaalam.

Umeniuliza juu ya kutengeneza vipeperushi , vyenyewe naweza kwa kutumia puplisher au Microsoft word.

Kuja dodoma naweza Mkuu, ikitokea hivyo
 
Back
Top Bottom