yellow java
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 884
- 1,561
Naimani vitu vingine utajifunza kidogo kidogo ,Kuprint, kutengeneza kadi naweza, Ila kutengeneza logo bado sijakuwa na huo utaalam.
Umeniuliza juu ya kutengeneza vipeperushi , vyenyewe naweza kwa kutumia puplisher au Microsoft word.
Kuja dodoma naweza Mkuu, ikitokea hivyo
halafu huja sema angalau una hitaji ulipwe bei gani,!!! Usije kulipwa 30000/ na umetumia gharama kutoka kwenu Mpaka mfano dar.