Ahsante,wote mlioweka mawasiliano yenu,nimehangaika kiasi cha kutosha,leo nimeenda kutafuta msaada kwa Loan Officer wa chuoni kwangu lakini hakuwa na nafasi,awali nilifikiri kwa vile ilikuwa weekend,lakini nimegundua tatizo ni zaidi ya Weekend,ni usiku sasa kwa kudra za Maulana kesho nitakutafuteni niweze kumalizana na hili zoezi,Pesa yangu (Sh.5,000/-) ya ku appeal washakula.