nasikia Lumia ambazo namba ya model haziishii 20 hazifanyi kazi kwenye mambo M-Mobile
Out of topic...au ndo wale matokeo kusaishwa upya
Naomba niende nje ya topic kaka.
Uliinunua wapi.na.bei gani.hiyo kitu mkuu?
Mkuu mini Nina Lumia 610,twaweza fanya biashara,laki nne unusu(450,000)
nasikia Lumia ambazo namba ya model haziishii 20 hazifanyi kazi kwenye mambo M-Mobile
Shida yangu kubwa ni hivyo nilivyoandika mkuu asante kwa wazo lako
Mimi ninayo Nokia lumia 800 kama vipi tufanye biashara