Kwa anayeifahamu VW BORA

29km/liter???
Ina engine ya Bajaji????

NO Sir, Sio engine Ya bajaji, Ni Engine ya Blue Motion Tech. (German Made ) 90hk with a top speed of 220km/h. TSI Motor. Km/l up to 29km/l kwa uendeshaji wa kistaarabu. Only 18km/l kwa wale wanaokamua na kuchuna tairi
 
Kwa kuongezea tuu mkuu, VW ikikamata lami inakamata ipasavyo kukata kona ikiwa hata zaidi 120 sio jambo la kuwaza mara 2. tuchukulie mfano tuu bettle new model, ule mlango wake baloon ikogonga itaishia hapo. kwa safety VW ondoa shaka.
 
NO Sir, Sio engine Ya bajaji, Ni Engine ya Blue Motion Tech. (German Made ) 90hk with a top speed of 220km/h. TSI Motor. Km/l up to 29km/l kwa uendeshaji wa kistaarabu. Only 18km/l kwa wale wanaokamua na kuchuna tairi

Mkuu check your facts:-
Hapo itakuwa ni 29MPG
Yaani Miles Per Gallon
Gari nzuri kabisa yenye 2.0 litre engine itakunywa about 10 to 12km/litre.
Chunguza tena.
 
Duu huo mchuma naupenda sana ila ninetishwa kuhusu spare eti hazipatikani bongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…