Kwa anayeifahamu VW BORA

29km/liter???
Ina engine ya Bajaji????

NO Sir, Sio engine Ya bajaji, Ni Engine ya Blue Motion Tech. (German Made :) ) 90hk with a top speed of 220km/h. TSI Motor. Km/l up to 29km/l kwa uendeshaji wa kistaarabu. Only 18km/l kwa wale wanaokamua na kuchuna tairi
 
502572146_04112013151901_9826_3.jpg
NO Sir, Sio engine Ya bajaji, Ni Engine ya Blue Motion Tech. (German Made :) ) 90hk with a top speed of 220km/h. TSI Motor. Km/l up to 29km/l kwa uendeshaji wa kistaarabu. Only 18km/l kwa wale wanaokamua na kuchuna tairi
 
Kwa kuongezea tuu mkuu, VW ikikamata lami inakamata ipasavyo kukata kona ikiwa hata zaidi 120 sio jambo la kuwaza mara 2. tuchukulie mfano tuu bettle new model, ule mlango wake baloon ikogonga itaishia hapo. kwa safety VW ondoa shaka.
Mkuu labda hiyo VW unayozungumzia wewe ni ya homemade ;-) Mimi naendesha VW mwaka wa saba sasa, nabadilisha model kwa model na hazijanisumbua hata mara moja. Kuna wengi wananunua magari kisha Service ni pale gari inapogoma kuwaka!! Kwa mtindo huo leo hii gari ya aina yoyote ile haina ubora. Gari inataka Service either kwa kilometer ama muda na sio kuendesha tu mpaka ligome. Na pia huwezi kusema kama zinakula mafuta ama La. kwa sababu kuna version za kila class. leo hii kuna VW inakwenda 29km/liter all after the model choice na ukubwa wa ingine unayotaka. Huwezi kutaka <machinr kubwa kisha upige kelele hizi gari zinanyonya mafuta kwa fujo, hapo tusiongelee uendeshaji wa mtu.
 
NO Sir, Sio engine Ya bajaji, Ni Engine ya Blue Motion Tech. (German Made :) ) 90hk with a top speed of 220km/h. TSI Motor. Km/l up to 29km/l kwa uendeshaji wa kistaarabu. Only 18km/l kwa wale wanaokamua na kuchuna tairi

Mkuu check your facts:-
Hapo itakuwa ni 29MPG
Yaani Miles Per Gallon
Gari nzuri kabisa yenye 2.0 litre engine itakunywa about 10 to 12km/litre.
Chunguza tena.
 
Duu huo mchuma naupenda sana ila ninetishwa kuhusu spare eti hazipatikani bongo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom