Advance Benja ni kama shule nyingine yoyote ya serikali, juhudi zako binafsi zinahitajika.
Ila wanafunzi wa Advance huwa wapo cool tofauti na O level ambao ni micharuko.
Majengo mazuri, labs za kutosha ila shule haina library.
Wapenda tuition shule iko karibu na tution maarufu za mchikichini na kwa Mtegetwa.
Kama unaenda kusoma pale nakushauri jiunge uanachama wa Tanganyika library.
Utaenjoy mazingira ya shule kama tu utafuata sheria za shule.......ila tu kama unaenda kuanza Kidato cha tano jiandaw kuzinguliwa na watoto wa o level.....manake wakiona uniform inang'aa wanakuchukulia njuka....halafu madogo wamepinda sana....usije kuchukua mademu zao...utajuta!!!