Abuu Bardizbah
Member
- Aug 10, 2013
- 76
- 7
Jamani nijuzeni kuhusu hii taasisi ni ya kiislamu wako Dar es salaam.
Je waislamu wa Dar es salaam na mikoa mingine mnalolote mnalolijua kuhusu hawa ndugu maana wametangaza nafasi za kazi wanachohtaji 50000 na picha mbili.
Nijuzeni