cleokippo JF-Expert Member Joined Dec 21, 2014 Posts 2,143 Reaction score 1,839 Dec 21, 2015 #1 Wana jukwaa, Kwa anayehitaji sim aina ya samsung galaxy s4 anicheck kwa no 0715 546818, bado iko poa sana ina mwezi na nusu tangu nitumiwe na bro toka Australia, bei ni tsh laki nne (400,000) haipungui hata mia kutokana na ubora wa simu yenyewe.
Wana jukwaa, Kwa anayehitaji sim aina ya samsung galaxy s4 anicheck kwa no 0715 546818, bado iko poa sana ina mwezi na nusu tangu nitumiwe na bro toka Australia, bei ni tsh laki nne (400,000) haipungui hata mia kutokana na ubora wa simu yenyewe.
Petro E. Mselewa JF-Expert Member Joined Dec 27, 2012 Posts 10,346 Reaction score 26,143 Dec 21, 2015 #2 Chukua laki tatu
cleokippo JF-Expert Member Joined Dec 21, 2014 Posts 2,143 Reaction score 1,839 Dec 22, 2015 Thread starter #3 haipungui hata 100 kaka
M M2mishi JF-Expert Member Joined Mar 2, 2013 Posts 719 Reaction score 274 Dec 28, 2015 #4 Haipungui kwa sababu imetoka Australia au?
Mosskiss Senior Member Joined Mar 22, 2011 Posts 158 Reaction score 103 Dec 28, 2015 #5 Unataka kuuza kitu bado unakipenda.. s4 ninazo 2 mpyaaa nataka 320k kila moja na bei inapungua unataka ni pm
Unataka kuuza kitu bado unakipenda.. s4 ninazo 2 mpyaaa nataka 320k kila moja na bei inapungua unataka ni pm