Kwa anayehitaji msichana bikra

Being a virgin is not only about purity of the body.
 
Chuoni wanamwachia tu chuo gani hicho”o level a level mtaani kwake wanamwangalia tu
 
Kama hayuko tayari kufanya saiv anamtafuta wa nini?Hakuna mahusiano bila kugegedana nowdays

Hahahahahaaaaa Mpwa anatafuta wa vocha, Usafiri, smartphone na chupi na tight. Nawajua vizuri mno. Aje kwangu aone asipokimbia mwenyewe.... Ubahili kwangu uko damuni. Ni nature
 
Hizi bikra za mchina hizi zitaingiza sana watu chaka!
 

Wajihi wake ukoje?
Halafu mi ntajuaje kama kweli hajawahi kushiriki ngono kwa njia ya kawaida, anaruhusu ukaguzi kabla ya mahusiano kuanza?
 
Wanawake wa siku hizi shida tupu alafu anajifanya mlokole kuna mlokole anaye nadisha bikra kwenye mitandao huyo pepo yeye aseme ukweli ameshafanya ufuska kachoka sasa anasaka ndoa kiujanja ujanja kama mimi hawezi kunipata labda atunge mbinu nyingine
 
Yupoje???

Ni Mweupe???

 
Hivi bikra nayo imekua bidhaa hadimu kiasi hicho kweli,,,????
Maana katika hali ya kawaida mwanamke yeyote ambaye hajaolewa lazima awe bikra na kama ikitokea amepoteza bikra yake bahati mbaya basi najua ni wachache sana,,,!!

Nenda kamwambie huyo aliyekutuma kwamba asilimia 70 ya JF members ambao hawajaolewa basi ni mabikra.

Hii ni kwa mujibu wa Asha Dii.
 

Mwambie asubiri
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…