Kwa anayehitaji mhandisi ujenzi (Civil Engineer) Mwanza

KijikoYajiko

Senior Member
May 8, 2012
106
19
Wakuu kama kuna Kampuni inahitaji Civil Engineer naomba tuwasiliane kwa PM. Nipo Mwanza. Uzoefu wangu ni miaka mitatu.
Asanteni.
 
Engineer zile post za utumishi si uliziona miaka mitatu ishaisha ya graduateb ingia serikalini kaka upate muda mwingi wa kijipanga kuanzisha kampuni yako kaka
 
Engineer zile post za utumishi si uliziona miaka mitatu ishaisha ya graduateb ingia serikalini kaka upate muda mwingi wa kijipanga kuanzisha kampuni yako kaka
Niliziona mkuu na nimeapply. In the meanwhile nasubiri itafaa km nitapata sehemu hapa mjini ya kufanya nayo kazi.
Thanks kaka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom