chuga uko maeneo gani? ila tatizo miye cyo mwalimu wala mlokole nadhani cyo rizki......... Preta et kujeni pande hii kuna mdau wa chuga huku lol
mkuu mi namshangaa jamaa,kama anataka mlokole humu jf atakesha. tumshauri alale then ataoteshwa mchumbawake ndotoni
Umeonaeeh!...au kwnn uctafute wa kawaida then umbadirishe?
Kwnz hakunaga ulokole
Mi niko tayari ila u
mri karibu twalingana na c mwalimu,nna mtu ila naona miyeyusho nahis tupo wawili....nna kazi nzuri tu hapa mjini...