DEGESWASWA
Member
- Apr 12, 2019
- 86
- 93
Habari wana JF Kama utapata wasaa wakuona uzi huu na unafahamu maeneo mazuri ya starehe yanayopatikana KIGAMBONI jijini Dar-es-salaam basi usisite kutirika
Natamani sana sikukuu hii ya PASAKA niende kujivinjari huko baada ya machozi na jasho wakati wa kuzisaka
Sent using Jamii Forums mobile app
Natamani sana sikukuu hii ya PASAKA niende kujivinjari huko baada ya machozi na jasho wakati wa kuzisaka
Sent using Jamii Forums mobile app