Kwa anayefahamu, mafunzo ya JKT yataanza lini?

Ibrahim daud

JF-Expert Member
Feb 10, 2013
609
524
kwa anae fahamu naomva anitoe wasi was I
Mimi nimepigiwa cm nkafika kwa mkuu wa wilaya akanikagua vyeti akanipeleka kwa mshauri wa mgambo nikapimwa afya nkakutwa nipo OK
nikaambiwa tarehe 28 nifike kwaajili ya usaili wa mkoani
je kwa wanaofahamu na wenye uzoefu na jkt mpaka hapo nimeshapata nafasi au laa?
 
Sasa kwa akili ya kawaida tu umeambiwa uende mkoani kwa ajili ya usahili. Kupata si wangekwambia uende kambini??

Hapo bado sana endelea kumuomba Mungu, usiruke ruke. Juzi kuna watu wamekatwa Mkoani kinoma noma.
 
kwa anae fahamu naomva anitoe wasi was I
Mimi nimepigiwa cm nkafika kwa mkuu wa wilaya akanikagua vyeti akanipeleka kwa mshauri wa mgambo nikapimwa afya nkakutwa nipo OK
nikaambiwa tarehe 28 nifike kwaajili ya usaili wa mkoani
je kwa wanaofahamu na wenye uzoefu na jkt mpaka hapo nimeshapata nafasi au laa?
Nyie ndio mnawanyima wenzenu nafasi unapigiwa simu unaenda bila kufanya usaili na wenzenu.
 
Back
Top Bottom