kwa anayefahamu hiki kitu!

The End..

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2013
Posts
4,362
Reaction score
3,846
habari zenu wana mmu!
ni wiki ya pili nasumbuliwa na hichi kitu PHONESEX!
nimewahi kuambiwa na x-gf wangu pindi alipokuwa mbali na mimi ila nilimkatalia kwa hofu kuwa sijui hata pa kuanzia!
ninachotaka kujuzwa hasa kuwa ina faida gani na madhara yake yapi?
na huwa kinafanyikaje!!?
 
Aiseeee kumbe kuna magonjwa mengi,ungeenda kumuona daktari!
 
How old are you kiddo?
is your Mamy at home?
 
mnakuwa mnaongea manneno ambayo huwa mnaongea mkiwa kitandani may be huku mkitumiana picha kwenye simu za utupu na kama simu inauwezo wa video call manaonyeshana maumbile yenu mpaka kila mmoja anamaliza mkiwa mbalimbali haina tofauti sana na mpunyeto mkuu!!! demu wako anakufundisha tabia mbaya usikubali kama unayajua madhara ya mpunyeto ndo hayo hayo....... kwa experiance yangu ya kusikia.. .

angalizo nimesikia kwa watu sijawahi fanya huo mchezo mchafu......... ha ha ha though siwezi sema kama ninafanya.... lakini huwa sifanyi,,,
 

hivi kumbe ndo hivyo!
thanks mkuu....
 

Hilo jina la 'phonesex' ni mbwembwe...kwa kifupi ni 'punyeto huku ukiwasiliana kwa simu na mpenzio'! Natumai unajua kupiga punyeto, na pia unajua kutumia simu..so basically, you know how to do 'phonesex'!
 
Hilo jina la 'phonesex' ni mbwembwe...kwa kifupi ni 'punyeto huku ukiwasiliana kwa simu na mpenzio'! Natumai unajua kupiga punyeto, na pia unajua kutumia simu..so basically, you know how to do 'phonesex'!

kwahiyo mafuta au sabuni vinatumika! na kama vinatumika hufanyiwa kwenye maliwato! na inawezekanaje kukesha na simu bafuni huku una mafuta au povu la sabuni???
hebu nidokeze kidogo...!!!
 

Unakribisaha majini mahaba! we fanya uone.
 
ndo ivyo ukafanye sasa... uje hapa unalialia huna nguvu za kiume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…