kwa anaeuza htc magic

kwa anaeuza htc magic

deecharity

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
936
Reaction score
515
habari.. kwa yeyote alienayo anipm ila iwe kwenye hali nzuri na ikiwa black itakua poa sn japokua ht nyeupe z ok. weka na bei.
 
Mkuu kaphone kazamani hivo wewe kamekuvutia nini?....hebu tuambizane bana nikumbukie kalipo kama ni deal la maana la kutafutwa kihivyo,isijekuwa umesikia walitengeneza na kipande cha almasi ukauziwa kisha ukaeenda vuna bingo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom