Kwa anaehitaji Dereva wa Uber, nipo tayari.

malela.nc

JF-Expert Member
Nov 24, 2013
246
337
Habari zenu humu, naona kumekuwa na ongezeko kubwa sana la mahitaji ya usafiri hasa hasa huu wa Uber.
Nimevutiwa sana na hii fulsa lakini kutokana na ukosefu wa mtaji wa kupata gari yangu binafsi. Naja kwenu wadau pengine yupo anaewaza kama mimi lakini Hana dereva ili tuwezeshane katika fulsa hii, naomba tufanye kazi.
Leseni ninayo na niko tayari kufanya kazi, napatikana Dar es salaam.
Contact: 0712568507
 
Back
Top Bottom