Kwa aliyemuona kongosho

Mjuni Lwambo

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2012
Posts
11,717
Reaction score
13,443
Ni muda mrefu sasa umepita sijamuona kabisa kongosho, sijaona aki reply uzi wowote na wala sijamuona aki hang hang popte.
Ni yapi yamemsibu?
Au amepigwa bani?

Wajameni kama kuna mtu amemuona popote naomba tuambizane,
Mwambieni anatafutwa
"ukimuona kongosho, mwambieni . . . . ."
 
nilikutana naye accidentally akaniambia anakuja kwako ,labda mmepishana coz c kawaida yake
 

Kuna jukwaa linaitwa Chit Chat, unanonaje kama ungepeleka thread yako huko?
 
nilikutana naye accidentally akaniambia anakuja kwako ,labda mmepishana coz c kawaida yake
mkuu suprise, niko serious, its a long time now since i last saw ​kongosho.
 
Kongoshoooooooooo!!!!!!! Unaitwa hukuuuu.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…