Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,004
Tundu Lissu ameingia kwenye orodha ya kuwa mwanasiasa pekee wa Tanzania ambaye kimsingi ameumizwa na uamuzi wa Serikali kukagua mchanga wa madini kuliko hata ACACIA.
Sasa ni dhahiri yeye pamoja na vibaraka wake watakuja kupinga kwa nguvu zote endapo 'BUNGE LIVE' likirudishwa.
Tundu na wafuasi wa CHADEMA wanadhani kupinga kila kitu ndio upinzani.