Kwa akili hizi za Watanzania, tunahitaji Rais mkali zaidi ya Magufuli

COARTEM

JF-Expert Member
Nov 26, 2013
3,600
3,651
1. Bado nchi inawatu wazembe sana na walalamishi.
2. Maofisini bado watu utendaji wao upo chini sana...refer mradi wa maji Lindi.
3. Ndani ya CCM bado hawaamini kuwa mambo yamebadilika.
4. Upinzani ndiyo hovyo kabisa kazi yao kutetea bangi, madawa ya kulevya na watu wenye harufu ya ufisadi.
5. Wakuu wa mikoa na wilaya kila siku wanakurupuka kurupuka tu kwenye maamuzi yao.
Nafikiri tunahitaji Rais atakaye tawala kwa MKONO WA CHUMA
 
Huo ukali utaleta unafuu wa maisha? Tunatakiwa tupate Rais anaejitambua na kutambua matatizo ya wananchi,sio mtu anakurupuka kuchukua form ya urais na kugombea kimasikhara.
Tunaitaji Rais mwenye maono ya maendeleo na uwezo wa kuongoza watu na sio kufoka na kuongea ovyo.
 
Tuko ovyo kwakweli. Mauwizi kila kona. Halafu wanaoiba wanaona ni haki yao kuiba. Maadili yetu yako ovyo sana. Uvivu na vitu vinavyoonekana haviendi na taratibu, Sheria na kanuni zilizopo ndo vinaonekana vitu vya maana na hao wafanyao hao huonekana kama wajanja.

Hata uwizi unaitwa ujanja
 
huo ukali umesaidia nini zaidi ya uchumi wa nchi kuporomoka. tunahitaji mwenye weredi na busara sio kila kitu ubabe ubabe
 
Ukali tu bila busara, maono, dira na muelekeo matokeo yake ni wivu, ubabaishaji na ukatili..
 
1. Bado nchi inawatu wazembe sana na walalamishi.
2. Maofisini bado watu utendaji wao upo chini sana...refer mradi wa maji Lindi.
3. Ndani ya CCM bado hawaamini kuwa mambo yamebadilika.
4. Upinzani ndiyo hovyo kabisa kazi yao kutetea bangi, madawa ya kulevya na watu wenye harufu ya ufisadi.
5. Wakuu wa mikoa na wilaya kila siku wanakurupuka kurupuka tu kwenye maamuzi yao.
Nafikiri tunahitaji Rais atakaye tawala kwa MKONO WA CHUMA

Tunahitaji Rais mwenye Hekima,Busara na uoga wa Mungu ambaye atashika alichoapa kukitenda.Kuitii,kuitetea na kuiungama.Katiba yetu hakuna kingine zaidi ya hapo.

Hauhitaji Rais mwenye makondo kando ya Kivuko hewa au kuhonga nyumba za serikali
 
1. Bado nchi inawatu wazembe sana na walalamishi.
2. Maofisini bado watu utendaji wao upo chini sana...refer mradi wa maji Lindi.
3. Ndani ya CCM bado hawaamini kuwa mambo yamebadilika.
4. Upinzani ndiyo hovyo kabisa kazi yao kutetea bangi, madawa ya kulevya na watu wenye harufu ya ufisadi.
5. Wakuu wa mikoa na wilaya kila siku wanakurupuka kurupuka tu kwenye maamuzi yao.
Nafikiri tunahitaji Rais atakaye tawala kwa MKONO WA CHUMA
Hivi unatarajia mtu ukamlipe laki 3 halafu ukamhamishie Dodoma huku watoto wake wanasoma gongo la mboto na huko Dodoma hana makazi yenye kueleweka akawa na moral wa kazi kweli?
 
Rais mwenyewe ni mlalamishi mpendeleaji kwa chama chake tu
1. Bado nchi inawatu wazembe sana na walalamishi.
2. Maofisini bado watu utendaji wao upo chini sana...refer mradi wa maji Lindi.
3. Ndani ya CCM bado hawaamini kuwa mambo yamebadilika.
4. Upinzani ndiyo hovyo kabisa kazi yao kutetea bangi, madawa ya kulevya na watu wenye harufu ya ufisadi.
5. Wakuu wa mikoa na wilaya kila siku wanakurupuka kurupuka tu kwenye maamuzi yao.
Nafikiri tunahitaji Rais atakaye tawala kwa MKONO WA CHUMA
 
Mambo ya kutajana wazazi yametoka wapi....acha mambo ya kijinga
Alietajwa ni bashite daudi mkuu wenu wa mkoa wa dar aliyefoji vyeti ambapo akiulizwa anatoa majibu machafu na analindwa kias kwamba mtu yoyote atafungwa na kupekuliwa kwake ili tu kumlinda daudi
Yeye hao anaowataja, kuwatukana na kuwakejeli hajui ni wazazi wa watu pia ?
 
1. Bado nchi inawatu wazembe sana na walalamishi.
2. Maofisini bado watu utendaji wao upo chini sana...refer mradi wa maji Lindi.
3. Ndani ya CCM bado hawaamini kuwa mambo yamebadilika.
4. Upinzani ndiyo hovyo kabisa kazi yao kutetea bangi, madawa ya kulevya na watu wenye harufu ya ufisadi.
5. Wakuu wa mikoa na wilaya kila siku wanakurupuka kurupuka tu kwenye maamuzi yao.
Nafikiri tunahitaji Rais atakaye tawala kwa MKONO WA CHUMA
Hill nalo neno ngoja tuwasubili wanakuja na majibu
 
Back
Top Bottom