bampami
JF-Expert Member
- Nov 5, 2011
- 5,700
- 4,126
Bakari ni house boy.mara
nyingi huiba wine ya boss
wake na kisha kuongeza maji
kwenye chupa ili boss
asigundue.
Mara kadhaa boss alihisi ladha tofauti anapokunywa wine
hivyo kuhisi kuna mchezo
mchafu.alihisi tu Bakari
anahusika.
ilikua ni bahati tu alimvizia na
kumbamba Bakari akichakachua wine, kwa kuwa mkewe alikua
anamtetea Bakari,Ili
kumthibitishia mkewe kuwa
bakari ndo culprit, boss alianza
kwa kumuuliza Bakari
maswali,siku hiyo Bakari alikua jikoni,boss na mkewe
walikua sebuleni. Boss:Bakariiii!
Bakari:Naam baba!
Boss:nani anakunywa wine
yangu?
Bakari kimyaaaa hajibu kitu!
Boss:Bakariiiii! Bakari:naam baba!
Boss:nauliza nani anakunywa
wine yangu halafu anajazia
majiii!
Bakari kimyaaaaa! Boss akaamua amfuate
hukohuko jikoni.'kwanini
nikikuita unaitikia,nikikuuliza
unanyamaza?
Bakari:baba huku jikoni ndo
kulivyo,unasikia jina tu likiitwa lakini maneno
mengine husikii,na kama
huamini baki jikoni mi niende
sebuleni.
Bakari akaenda sebuleni. Bakari:Babaa!
Boss:naam bakari!
Bakari:Saa sita usiku,hua
unaenda kufanya nini chumba
cha house girl?
Boss kimyaaaa! Bakari:Baba babaa!
Boss:ndio bakari!
Bakari:Nauliza hivii,chumbani
kwa house girl saa sita za
usiku hua wafuata nini?
Boss kimyaaaaaaa! Boss akatoka nje,'Bakari huku
jikoni ni kweli husikii kitu
dah!'
nyingi huiba wine ya boss
wake na kisha kuongeza maji
kwenye chupa ili boss
asigundue.
Mara kadhaa boss alihisi ladha tofauti anapokunywa wine
hivyo kuhisi kuna mchezo
mchafu.alihisi tu Bakari
anahusika.
ilikua ni bahati tu alimvizia na
kumbamba Bakari akichakachua wine, kwa kuwa mkewe alikua
anamtetea Bakari,Ili
kumthibitishia mkewe kuwa
bakari ndo culprit, boss alianza
kwa kumuuliza Bakari
maswali,siku hiyo Bakari alikua jikoni,boss na mkewe
walikua sebuleni. Boss:Bakariiii!
Bakari:Naam baba!
Boss:nani anakunywa wine
yangu?
Bakari kimyaaaa hajibu kitu!
Boss:Bakariiiii! Bakari:naam baba!
Boss:nauliza nani anakunywa
wine yangu halafu anajazia
majiii!
Bakari kimyaaaaa! Boss akaamua amfuate
hukohuko jikoni.'kwanini
nikikuita unaitikia,nikikuuliza
unanyamaza?
Bakari:baba huku jikoni ndo
kulivyo,unasikia jina tu likiitwa lakini maneno
mengine husikii,na kama
huamini baki jikoni mi niende
sebuleni.
Bakari akaenda sebuleni. Bakari:Babaa!
Boss:naam bakari!
Bakari:Saa sita usiku,hua
unaenda kufanya nini chumba
cha house girl?
Boss kimyaaaa! Bakari:Baba babaa!
Boss:ndio bakari!
Bakari:Nauliza hivii,chumbani
kwa house girl saa sita za
usiku hua wafuata nini?
Boss kimyaaaaaaa! Boss akatoka nje,'Bakari huku
jikoni ni kweli husikii kitu
dah!'