Kwa aina ya Wachambuzi tulionao tunawahitaji kina Haji Manara wengi

Naanza kwa Kusema 'BIG UP' Kwa Manara.Kwa Kueleza Waziwazi bila Woga Kitendo kibaya Mno Kilichofanywa na Yanga,Kukimbia Mechi Ya Darby bila kujali Umati Ule uliojazana Pale Kwa Kivuli cha Kanuni.

La Pili ambalo nalo linastahili pongezi ni kuonyesha Uzandiki kwa Wanaojiita wachambuzi...kwa kutetea na kuubeba Utopolo Uliofanywa na Utopolo Yenyewe 'eti wamefanya Kitendo Cha kishujaa.

Hawa Utopolo hawana pa Kuchoropoka mwaka huu, Naziona game mbili clear zinakuja, ya FA na Hii ya VPL ambayo itapangiwa tarehe nyingine .Lazima Vyura wapigwe.

Wachambuzi Uchwara wamekuwa wengi mno....! Tatizo la ajira linakuja na matokea anuai, wengine Wanavamia fani.
kwani mganga wenu anasemaje?
 
Tff walipaswa kuambatanisha na barua ya wizara ya kupeleka mbele mchezo

Yanga wako sahihi mara
We juha unajua maana ya maagizo/maelekezo.

Elewa taarifa ya TFF kwanza, wao wamepata maagizo/maelekezo kutoka Wizara ya Michezo.

Kwani usipoambanisha ndo agizo linakuwa haramu..!? Unawapangia kazi we nani?
 
Naanza kwa Kusema 'BIG UP' Kwa Manara.Kwa Kueleza Waziwazi bila Woga Kitendo kibaya Mno Kilichofanywa na Yanga,Kukimbia Mechi Ya Darby bila kujali Umati Ule uliojazana Pale Kwa Kivuli cha Kanuni.

La Pili ambalo nalo linastahili pongezi ni kuonyesha Uzandiki kwa Wanaojiita wachambuzi...kwa kutetea na kuubeba Utopolo Uliofanywa na Utopolo Yenyewe 'eti wamefanya Kitendo Cha kishujaa.

Hawa Utopolo hawana pa Kuchoropoka mwaka huu, Naziona game mbili clear zinakuja, ya FA na Hii ya VPL ambayo itapangiwa tarehe nyingine .Lazima Vyura wapigwe.

Wachambuzi Uchwara wamekuwa wengi mno....! Tatizo la ajira linakuja na matokea anuai, wengine Wanavamia fani.
Sidhani kama wewe umepita shule au kama umepita shule sidhani kama ulienda JKT,
kwa mfano ukiwa JKT na mkapewa adhabu mkiwa kundi harafu wote mliopewa adhabu wakakimbia ukabaki peke yako unadhani yule aliyewapa adhabu atakufurahiya au ataongeza hasira na adhabu na hasira zitaongezeka kwako maana unafanya vitu kwa kujipendekeza, hii ni sawa na vitani unapoona njia rahisi ya kupambana na aduhi razima mshirikiane katika jambo moja kama ni kusonga mbele au kubaki katika msimamo mmoja kwa ajiri ya kufika lengo,
 
Elimu za hao unaowaita waandishi na WACHAMBUZI ni zero kbsa. Hawajielewi hao. Ukiwafuata wenye akili tutahoji akili zako

Ila wanapoisifia Simba huwa ni wachambuzi sabunisabuni? Na kitakwimu, mara nyingi wamekuwa upande upi baina ya takataka na sabunisabuni?
 
Manara Kajenga Hoja Yenye mashiko Mechi kusogezwa mbele masaa mawili haimaanishi mchezo umehairishwa...Sasa Wachambuzi wanaacha hoja Wanasifia Ushujaa Wa Yanga 'kutimua mbio' .
All in all Ipo haja na Wao kujitathmini wasitumie vyombo vyao Vibsya.

Unajua kwamba ‘kusogezwa mbele’ maana yake ni ‘kucheleweshwa’? Na unajua kwamba ‘kuahirishwa’ maana yake ni ‘kucheleweshwa’ (inatokana na neno ‘akher’ la Kiarabu lenye maana ya ‘mwisho’, ndiyo yapatikana pia maneno ‘ahera’, ‘aheri’ kwa maana ya bei ya mwisho kwa muuzaji, n.k.). Kwa hivyo kuahirishwa = kusogezwa mbele = kuahirishwa.
Sema jengine!
 
We juha unajua maana ya maagizo/maelekezo.

Elewa taarifa ya TFF kwanza, wao wamepata maagizo/maelekezo kutoka Wizara ya Michezo.

Kwani usipoambanisha ndo agizo linakuwa haramu..!? Unawapangia kazi we nani?
Wewe nikikueleza pumbafu yaani ni pumbafu kwelikweli

Najua ofisi ikoje na ni nini maana ya ofisi

Kama ni wizara awe waziri wa wizara ameagiza lzm mtendaji wake aandike barua ya kujulisha lile ambalo muheshimiwa kasema

Hizo ndiyo taratibu za kiofisi

Ndiyo maana hata alipokuwepo mh JPM Alisema baada ya muda mfupi barua iliandikwa toka ikulu

Elewa tff ni njama Tu

Ndo maana wakaamua kuahilisha mechi

Kama YANGA ingekua imekosa lzm ingekipata cha mtema kuni tena tff unaijua ni juha Tu wasivoipenda YANGA wageshainiga kitambo

Narudia we pumbaf
 
Hamna cha maana zaidi kigugumizi tu kwenye kuandika.

Acha nikuache tu na uwehu wako, mjini mpe cheo.
 
Naanza kwa Kusema 'BIG UP' Kwa Manara.Kwa Kueleza Waziwazi bila Woga Kitendo kibaya Mno Kilichofanywa na Yanga,Kukimbia Mechi Ya Darby bila kujali Umati Ule uliojazana Pale Kwa Kivuli cha Kanuni.

La Pili ambalo nalo linastahili pongezi ni kuonyesha Uzandiki kwa Wanaojiita wachambuzi...kwa kutetea na kuubeba Utopolo Uliofanywa na Utopolo Yenyewe 'eti wamefanya Kitendo Cha kishujaa.

Hawa Utopolo hawana pa Kuchoropoka mwaka huu, Naziona game mbili clear zinakuja, ya FA na Hii ya VPL ambayo itapangiwa tarehe nyingine .Lazima Vyura wapigwe.

Wachambuzi Uchwara wamekuwa wengi mno....! Tatizo la ajira linakuja na matokea anuai, wengine Wanavamia fani.
Haji Manara kaongea kiushabiki na kujikomba kwa serikali ndio maana hata kwenye taarifa yao wamejaza maneno kibao kama gazeti la udaku lakini la maana hata moja hakuna hakuna hata walipozungumzia kanuni wala sheria, Haji Manara ni mwana ccm, Mo nae ni mwana ccm na waliovurunda ni serikali ya ccm.
Ukiachana na ushabiki wa usimba na uyanga. Yanga wamefanya maamuzi sahihi kwasababu

1) wamesimamia kanuni na sheria inavyosema kuwa mabadiliko yoyote ya ratiba yanapaswa kutolewa masaa 24 kabla.

2) kwanini hakuna maelezo ya kutoa sababu za msingi kwanini mechi isogezwe muda wa saa moja badala ya saa kumi.

3) derby imetangazwa karibia wiki mbili hao serikali imeshindwa nini kuweka mambo yao sawa kabla ya siku ya mechi kufika.

4) serikali wamewafanya mashabiki /wapenzi wa mpira kama wajinga na wapumbavu kiasi kwamba wanajiamulia tu lolote muda wowote pasipo kufuata utaratibu.
 
Naanza kwa Kusema 'BIG UP' Kwa Manara.Kwa Kueleza Waziwazi bila Woga Kitendo kibaya Mno Kilichofanywa na Yanga,Kukimbia Mechi Ya Darby bila kujali Umati Ule uliojazana Pale Kwa Kivuli cha Kanuni.

La Pili ambalo nalo linastahili pongezi ni kuonyesha Uzandiki kwa Wanaojiita wachambuzi...kwa kutetea na kuubeba Utopolo Uliofanywa na Utopolo Yenyewe 'eti wamefanya Kitendo Cha kishujaa.

Hawa Utopolo hawana pa Kuchoropoka mwaka huu, Naziona game mbili clear zinakuja, ya FA na Hii ya VPL ambayo itapangiwa tarehe nyingine .Lazima Vyura wapigwe.

Wachambuzi Uchwara wamekuwa wengi mno....! Tatizo la ajira linakuja na matokea anuai, wengine Wanavamia fani.
Napinga hii

Kwanza angalia simba mlipokea simu ya kuwa mechi imesongezwa mbele hamkuhoji chochote kua kwa nn imesongezwa mbele.

Saa 12 mkafika uwanjan mkapokea taarifa kua mechi imeahairishwa mkaanza kulalamika kwann..

Yanga wapo sahihi na wanafanya kazi kwa kuheshim kanuni na sheria zilizowekwa sasa kosa lao liko wapi??

Simba walitakiwa kuhoji kwanza kwann ratiba imebadilishwa sio kuanza kuandika barua za kinafiki tu kuiombea yanga ishushwe madaraja mawili
 
Kwenye sakata hili nionavyo mimi ni kuwa yanga hana kosa,bali amekosa busara na huruma,hakujali gharama,usumbufu na hasara walizopata wadau mbalimbali wa soka kwa ajili ya mechi ile,lakini kosa kubwa liko kwa walio ahirisha mechi dakika za mwisho,
 
Hawaisifu bure inafanya wanavyosema.

Hata wasipoisifu wao,kuna wengi wa nje wanaisifu sana.Bakini na roho zenu mbaya.
Ila wanapoisifia Simba huwa ni wachambuzi sabunisabuni? Na kitakwimu, mara nyingi wamekuwa upande upi baina ya takataka na sabunisabuni?
 
Upuuzi kama huu unaweza kuta aliyeandika ni msomi kabisa.

Waziri ni mpenzi wa utopolo...kama TFF ingemsingizia unadhani nini kingetokea?

Yaani utopolo mpange kuahirisha mechi,halafu nyie nyie mnagomea kuahirishwa,halafu mnarudi mnalaumu Simba?!! Simba hii iliyomrarua goli 4 aliyewauzia makapi?Hii iliyomuua al ahly kwa Mkapa?Ianze kuogopa tumbiri?
Humo kichwani kumejaa taka taka au kamasi?
Wewe nikikueleza pumbafu yaani ni pumbafu kwelikweli

Najua ofisi ikoje na ni nini maana ya ofisi

Kama ni wizara awe waziri wa wizara ameagiza lzm mtendaji wake aandike barua ya kujulisha lile ambalo muheshimiwa kasema

Hizo ndiyo taratibu za kiofisi

Ndiyo maana hata alipokuwepo mh JPM Alisema baada ya muda mfupi barua iliandikwa toka ikulu

Elewa tff ni njama Tu

Ndo maana wakaamua kuahilisha mechi

Kama YANGA ingekua imekosa lzm ingekipata cha mtema kuni tena tff unaijua ni juha Tu wasivoipenda YANGA wageshainiga kitambo

Narudia we pumbaf
 
Upuuzi kama huu unaweza kuta aliyeandika ni msomi kabisa.

Waziri ni mpenzi wa utopolo...kama TFF ingemsingizia unadhani nini kingetokea?

Yaani utopolo mpange kuahirisha mechi,halafu nyie nyie mnagomea kuahirishwa,halafu mnarudi mnalaumu Simba?!! Simba hii iliyomrarua goli 4 aliyewauzia makapi?Hii iliyomuua al ahly kwa Mkapa?Ianze kuogopa tumbiri?
Humo kichwani kumejaa taka taka au kamasi?
Kanye ulale mkulu povu lote kama mkaanga maandazi
 
Aliyawaita Yanga utopolo aisee akukosea mungu amjalie maana jina zuri kama akili zao matope tu sasa nitashangaa kama utopolo atakubali kucheza mechi maana atatumia kanuni kurudia na kukubali kucheza na wachambuzi wengi ni Yanga that's why wanaumia Simba anavyofanya vzr hawapo fair
 
Back
Top Bottom