Kidogo chetu
JF-Expert Member
- Nov 27, 2009
- 1,432
- 992
wanabodi Habarini.
mtakumbuka wakati mheshimiwa rais akiizindua rasmi kampasi ya MUHAS Mlonganzila aliagiza hospitali zote za rufaa ziwe chini ya wizara ya afya agizo ambalo jana waziri wa Tamisemi amelitekeleza. Jaffo ameagiza ofisi zote za waganga wafawidhi kuwa chini ya wizara ya afya mara moja, na zitapokea pesa moja kwa moja bila kupita kwa RAS. lakini hapo hapo RMO's wa mikoa yenye hospitali hizo za rufaa inaonekana kama wamebakizwa chini ya TAMISEMI
Ombi: mwanabodi anayeelewa vizuri maana ya tamko la waziri ebu anifafanulie.