CHA The GREAT
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 651
- 855
Mjumbe hauwawi.........
Hivi ndivyo mchoraji katuni wa D-W, Said Michael anavyotuambia.
Hivi ndivyo mchoraji katuni wa D-W, Said Michael anavyotuambia.
kwa upanga tena huyo shehe awaulize wale wenzake htuko tiari kumvumilia na upuuzi wakeMh Shehe mponda amesema tuikemee serikali hii hata kwa upanga na mimi nilishasema nitajitoa muhanga kuinusuru TANZANIA yetu.
Swissme
ili niweze kutumia upanga kwa ajili ya kukemea??Go back to school dude
Swissme
samahani aisee.
Picha inadhihirisha kuwa kila kitu kipo chini ya kiongozi mmoja tu kwa nchi zetu za Africa.Mjumbe hauwawi.........
Hivi ndivyo mchoraji katuni wa D-W, Said Michael anavyotuambia.
View attachment 607517
Mandela, Samora na wengine walipoingia msituni waliitwa wapuuzi lakini leo ni mashujaa. Hatusemei kuwa tumeifikia pale ila usipuuzie mtu anapoanza sema vile ana sababu. Msikilize, muulize na uchambue ndo utoe majumuisho. Venezuera wako wapi, Cuba je na vinchi vingine sivitaji vinajiju ila kuna nchi zimekuwa ngangari lakini zimekuwa na kuuma na kuvuvia kama Rwanda. We achana na huyo jamaa.kwa upanga tena huyo shehe awaulize wale wenzake htuko tiari kumvumilia na upuuzi wake
Chonde chonde kujitoa huko kusijelenga raia wasio na hatia tu..Mh Shehe mponda amesema tuikemee serikali hii hata kwa upanga na mimi nilishasema nitajitoa muhanga kuinusuru TANZANIA yetu.
Swissme
Unajitoa hp jf?Mh Shehe mponda amesema tuikemee serikali hii hata kwa upanga na mimi nilishasema nitajitoa muhanga kuinusuru TANZANIA yetu.
Swissme
Hii ni picha halisi ya Mh. Pombe.Mjumbe hauwawi.........
Hivi ndivyo mchoraji katuni wa D-W, Said Michael anavyotuambia.
View attachment 607517
Upanga wa maneno tulia wewe.kwa upanga tena huyo shehe awaulize wale wenzake htuko tiari kumvumilia na upuuzi wake
Afrika mbali sana, huyu kwenye picha ni mwenyekiti wa CCM taifa.Ni kweli watawala wa afrika ndivyo walivyo.