Kumekuwa na hali ya taharuki kwenye jamii, kifuatia ndoa kuvunjika hovyo tena kwa kasi ya ajabu. Asilimia kubwa ya ndoa za sasa ni full majanga.
Kuna taasisi fulani imewahi kufanya utafiti kwa kutumia sampuli ya ndoa 217. Kati ya hizo ni tatu tu zilikuwa zinafurahia muunganiko huu wa hiari. 4 mmoja wa wanandoa anafurahia ndoa lkn mmoja anaumia kimoyomoyo (amebeba msalaba wa mwenzi wake). 97 zipo kwa sabb ya mali walizochuma pamoja na watoto waliowazaa.
113 wanaombeana mabaya ili mmojawapo afe waanze upya. Wanalala mzungu wa nne, hawasalimiani wala kusaidiana Lea lolote. Hali ni tete bhandugu.
Kwa kuliona hili nashauri mkemia mkuu ktk mpango wake wa kuwapima mkojo watumishi wote wa umma, watumishi wote wa sekta binafsi, wanafunzi na waombaji wote wa ajira. Basi aongeze na kundi hili la wachumba wanaotaka kuoana. Yawezekana matumizi ya madawa ya kulevya yamezidi kiasi cha kuharibu mahusiano ya ndoa.