kayaman
JF-Expert Member
- Aug 3, 2013
- 4,516
- 10,441
Siamini pia kama wananchi wanaweza kusimamisha msafara Wa rais hasa Wa aina kama huyu tuliyenae,
ila kuhusu wananchi kuwa wengi inatokana na kule mkoani watu humuona rais kipindi cha kampeni labda itokee kuna tukio maalum kama ufunguzi wa bomba kama hili tofauti na dar au Dodoma ambao humuona kila mala.
Sent using Jamii Forums mobile app