Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,893
okey asante kwa uweleshaji wako............ uasherati ni nini?
umekorogwa wewe si bure.............
Wakubwa wengi wamekuwa wakiona ninavyopinga kuharalisha kuzini kama tendo la ndoa.Kuzini ni kufanya uingiliano kati ya mwanamume na mwanamke asiye mke au mume wako.
Kwa maana nyingine ni kufanya maingiliano ya kindoa kati ya mwanamke na mwanamume pasipo baraka au uhalarisho wa jamii inayokuzunguka.
Muingiliano wowote kati ya mwanamke na mwanamke katika mahusiano ya boyfriend au girlfriend au nyumba ndogo au buzz au ATM au baba mtoto wako au mama mtoto wako asiye na baraka au ubarikio wa jamii inayokuzunguka basi ni uzinifu tu period
Wakubwa ni mtazamo tu
mambo....uko poa mrembo?
okey ukamshaurije huyo binti sasa? na je wewe umeona mapaja ya huyo binti?Mbona unakimbilia kuonge kuwa nimekorogwa hakika sijakorogwa ila nsikitika na nyie watoto wa kike mnavyohalarisha uzinzi mbele ya familia zenu..
Juzi tu kuna kaka kaja kuomba ushauri kuwa dada yake wa miaka 17 ambaye amemaliza formu IV amechora tatoo kwenye mapaja yake..Swali aliyapata wapi hayo maushauri..nani alimwambia urembo wa tatoo nikuchora kwenye mapaja?mpaka anamfunulia huyo aliyemchora alikuwa anafikiria nini..Ni uzinzi tu tufike sehemu ktukubali kukosolewa nikikosea hakika nitakosolewa tu na wala sitaacha lakini kukimbilia kuomba comunity sympathy kwa uzinzi sishabikii
A True friend is one who doesn't make you happy with a lie but one who hurts you with the truth
okey ukamshaurije huyo binti sasa? na je wewe umeona mapaja ya huyo binti?
kwahiyo? na hatuachi ng'o.
je wewe umeona mapaja ya huyo binti?
Khaaaaaaa umesisitizia kama vile haina madhara mweeeeeee
Aisee bora we umemshtukizia my sis!!umekorogwa wewe si bure.............
Jf ina mambo ukiona kichwa cha swali waweza kudhani ndo miguu ya swali alafu unajiuliza hili nalo tuite swali ama mkorogo? ..
Acha watoe lakini usije kumwambia hata siku moja twende angaza weee! Achana na CD4 wewe zikianza kushuka na kupanda... they blame no one.
Hivi ulifikiria kabla ya kuuliza hili swali?