Kv-london JF-Expert Member Joined Jan 24, 2014 Posts 2,892 Reaction score 5,084 Nov 13, 2014 #2 Hatar! ila waache wafe tu wanatsumbua sana.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,459 Reaction score 872,114 Nov 13, 2014 Thread starter #3 mtena said: Hatar! ila waache wafe tu wanatsumbua sana. Click to expand... mtena kifo cha namna hii kwanza kinatisha halafu kinauma mno...yani unajiona live kabisa kwamba sasa ndio baibai tena kwa mateso kweli Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
mtena said: Hatar! ila waache wafe tu wanatsumbua sana. Click to expand... mtena kifo cha namna hii kwanza kinatisha halafu kinauma mno...yani unajiona live kabisa kwamba sasa ndio baibai tena kwa mateso kweli
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Nov 13, 2014 #4 Leo kulikoni?
DULLAH B. JF-Expert Member Joined Apr 21, 2011 Posts 672 Reaction score 152 Nov 13, 2014 #5 wapigwe na wauawe tu.
kadeti JF-Expert Member Joined Aug 19, 2011 Posts 1,383 Reaction score 1,510 Nov 13, 2014 #6 hapana wasifanye hivyo ni ibilisi anayewashawishi kisha anawaacha.Musiwa hukumu kwani ninani kati yenu ajawi kuiba au kosa lolote ?
hapana wasifanye hivyo ni ibilisi anayewashawishi kisha anawaacha.Musiwa hukumu kwani ninani kati yenu ajawi kuiba au kosa lolote ?
The Bleiz JF-Expert Member Joined Jan 7, 2012 Posts 5,143 Reaction score 13,839 Nov 13, 2014 #7 Najua maumivu ya kuibiwa lkn siungi kabisa mkono hilo jambo hapo juu.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,459 Reaction score 872,114 Nov 13, 2014 Thread starter #8 HARUFU said: Leo kulikoni? Click to expand... Pepo za kusi na kimbunga....!!!!
N Ngekewa JF-Expert Member Joined Jul 8, 2008 Posts 7,705 Reaction score 1,288 Nov 13, 2014 #9 mshana jr said: mtena kifo cha namna hii kwanza kinatisha halafu kinauma mno...yani unajiona live kabisa kwamba sasa ndio baibai tena kwa mateso kweli Click to expand... Uzuri wa kifo hiki ni kuwa unakuwa ushajitayarisha nacho unapoamua kwenda kuiba. Kila mmoja anaelewa nini matokeo unapobambwa.
mshana jr said: mtena kifo cha namna hii kwanza kinatisha halafu kinauma mno...yani unajiona live kabisa kwamba sasa ndio baibai tena kwa mateso kweli Click to expand... Uzuri wa kifo hiki ni kuwa unakuwa ushajitayarisha nacho unapoamua kwenda kuiba. Kila mmoja anaelewa nini matokeo unapobambwa.