Salaam.
Mimi nilipata ajali kwenye ndege na kufanyiwa operation ya kichwa(celebral spinal fluid)ilikuwa inavuja kupitia kwenye kitobo kilichotakana na hiyo ajali.
Hivyo ilikuwa nikiinamisha kichwa maji yanatoka kama bomba ambalo maji yanataka kukatika kupitia pua ya kushoto,lakini nikiwa niko straight hayatoki na wala mtu hawezikujua kuwa nina tatizo.
Baada ya operation na hicho kitobo kuzibwa nikaambiwa na Dr.kuwa huenda nikawa napatwa na degedege(seizures) au meningitis.
Akanipatia dawa-tegretol kuwa nizitumie kwa miaka kama 5-kila siku kidonge1.
Lakini kwenye kama baada ya miaka 2 nikawa napata hiyo degedege(Nakakamaa na kuzimia kwa dakika kadhaa) na hivi karibuni nilizimia hadi kupelekwa ICU kwa siku 3 nikiwa sijifahamu.
Naomba mwenye kufahamu naweza kupata wapi tiba ya hii degedege hata kama ni TZ au nje ya nchi au kama mwenye kujua dawa anisaidie.
Ingawa hainitokei mara kwa mara(interval ya kama mara 4 kwa mwaka)lakini inaninyima raha.Hata kama ni dawa za kienyeji niko tayari kujaribu.
Natanguliza shukurani.
Katabazi Rakey-rakeyescarl@yahoo.ie