Kuzima TBC 1 kisa michuano ya Afcon ni Ujinga

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
137,707
Reaction score
272,592
Njia pekee iliyobaki kwa TBC angalau kutazamwa n.a. wananchi ilikuwa kuonyesha michuano hiyo ya Afcon.

Ikumbukwe kwamba Hii channel ni ya bure, na ndio hao masikini wa TANZANIA wanaitumia kuangalia Afcon, Sasa kuzima ni sawa n.a. kukomoa makapuku.

Nimepokea malalamiko Kutoka lea masikini Wengi wa TANZANIA kwamba TBC haipatikani bila bando ili masikini walazimike kulipia Azam, Kimsingi hii ni njama ya kijinga sana

Yaani sasa TBC ipo kwa ajili ya hotuba za Mwigulu tu

Poor TANZANIA!

Ujumbe: TUNATEKELEZA
 
Nchi imechoka.Alafu kuna jambo naanza kupata mashaka na hii ccm inashauriwa na mtoto wa museveni.

Angalia maongezi yake na yaliyotendeka na yanayotendeka
 
Njia pekee iliyobaki kwa TBC angalau kutazamwa n.a. wananchi ilikuwa kuonyesha michuano hiyo ya Afcon.

Ikumbukwe kwamba Hii channel ni ya bure, na ndio hao masikini wa TANZANIA wanaitumia kuangalia Afcon, Sasa kuzima ni sawa n.a. kukomoa makapuku.

Nimepokea malalamiko Kutoka lea masikini Wengi wa TANZANIA kwamba TBC haipatikani bila bando ili masikini walazimike kulipia Azam, Kimsingi hii ni njama ya kijinga sana

Yaani sasa TBC ipo kwa ajili ya hotuba za Mwigulu tu

Poor TANZANIA!

Ujumbe: TUNATEKELEZA
Acha twende hivyo hivyo. Yatakayemshinda ataungana nasi kuingia road!
 
Njia pekee iliyobaki kwa TBC angalau kutazamwa n.a. wananchi ilikuwa kuonyesha michuano hiyo ya Afcon.

Ikumbukwe kwamba Hii channel ni ya bure, na ndio hao masikini wa TANZANIA wanaitumia kuangalia Afcon, Sasa kuzima ni sawa n.a. kukomoa makapuku.

Nimepokea malalamiko Kutoka lea masikini Wengi wa TANZANIA kwamba TBC haipatikani bila bando ili masikini walazimike kulipia Azam, Kimsingi hii ni njama ya kijinga sana

Yaani sasa TBC ipo kwa ajili ya hotuba za Mwigulu tu

Poor TANZANIA!

Ujumbe: TUNATEKELEZA
kakaulazimisha nani utazame TBC 1 kama sio kiherehere chako tu,
utaipenda na kuitazama tu hata ulete chuki na unafiki kiasi gani kwenye hilo :NoGodNo:
 
Back
Top Bottom