Kuzama sio kwenye maji tu

Ndio upo sahihi
Sasa ku move on kwenda mbali na mazingira ya vishawishi hapo ndio kasheshe huanzia
Kama hiyo hali haijaanza kumkera muhusika mwenyewe ni ngumu ku-move on.

Na njia za kuondokana na hali kama hizo huwa ni kwa kuanza mdogo mdogo, hauwezi ku move on mbali na mazingira ya vishawishi ghafla, hilo haliwezekani lazima utarudi kule kule, lakini ukianza kwa kuyafahamu mazingira halisi ya vishawishi then ukaamua kwa dhati, naamini kila kitu kina wezekana, ni suala la kujua namna ya kuya-control mawazo yako tu.
 
Thank you 😊
 
Je inawezekana kuzama k⁸wenye juice ama uji?
 
Kuzama ni chumvini tu hivyo vingine ni viberenge fwata upepo.
Na ukute bumunda limetuna limeloa kichwa unaweza kuacha mle ndani ya Papa.
 
Unaogopa kufua 😁😁 imagine uzame kwenye tope mvua imenyesha lol aibuu
Ni changamoto kwakweli, mimi staki kwakweli kinachonishangaza ni kwamba kuna watu wanataka kuzama kwenye matope! Wakati mimi hata kusogelea hayo madimbwi yenye matope naogopa πŸ™Œ.
 
Unaandika kwa kuuma uma maneno, kwa kupindisha pindiiiisha!

Pale mkoa wa Kigoma, kwenye Wilaya ya uvinza kuna machimbo ya chumvi.

Sijui pakoje pale, watu wakienda kuchimba chumvi kienyeji bila zindiko, wengi husahau kurudia makwao.

Je 'kupotelea' sehemu kipumbaf pumbaf, siyo kuzamia huko?
 
Ni changamoto kwakweli, mimi staki kwakweli kinachonishangaza ni kwamba kuna watu wanataka kuzama kwenye matope! Wakati mimi hata kusogelea hayo madimbwi yenye matope naogopa πŸ™Œ.
Hongera mkuu watu wastaarabu wote duniani huogopa kusogelea au kujihusisha na uchafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…