Kuzaa nje ya ndoa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuzaa nje ya ndoa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by jino kwa jino, Jan 28, 2011.

 1. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #1
  Jan 28, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kuzaa nje ya ndoa ni jambo la kawaida sana (either kabla ya ndoa au baada ya ndoa) sasa naomba kuuliza ni lipi linaumiza zaidi kwa mwanaume au mwanamke
  1 mwanaume kuoa mwanamke aliyekwisha kuzaa kabla ya ndoa au mwananke kuolewa na mwanaume mwenye mtoto kabla ya kuona
  2. mwanaume kuzaa nje ya ndoa wakati akiwa knye ndoa au mwanamke kuzaa nje ya ndoa wakati akiwa knye ndoa

  najua vyote siyo vizuri kimaadili ila ni lipi la uma zaidi na utakabiliana nalo vipi?
   
 2. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #2
  Jan 28, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
  Yaani hiyo ya pili ndio kasheshe.....:sick:
  Ya kwanza hapo nyuma si kila mtu alikuwa na maisha yake
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Jan 28, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Wewweeee!
  Hii kwenye RED haikubaliki kabisa...Mengine yote yanaweza kutokea lakini siyo hilo..
  Ni kinyume kabisa cha mila na dasturi za jamii yoyote!~
   
 4. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #4
  Jan 28, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Hiyo ya pili ndo mbaya kwa wote wa2
   
 5. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #5
  Jan 28, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  sasa mkuu unamaanisha mwanaume kuzaa nje ruksa ila mwanamke NO
   
 6. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #6
  Jan 28, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ila hamkuambiana kabla ya ndoa, mfano mwanamke alikuficha hana mtoto unakuja gundua baada ya muda mkiwa knye ndoa unamfanyaje
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  Jan 28, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Noop..sijasema ruksa!
  Ila imekuwa inatendeka since time immemorial, na haitishi kihivo.
  Lkini inapotokea ni mwanamke anazaa nje ya ndoa, ajiandae bila kuulizwa kuelekea kwao!
   
 8. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #8
  Jan 28, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,812
  Likes Received: 83,186
  Trophy Points: 280
  Mkuu PJ mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu .........

   
 9. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #9
  Jan 28, 2011
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  PJ, sasa hiyo ya kwenye red ndo ipo sana kuliko ya hata mume kuzaa nje ya ndoa ila inakuwa hamjui tu
   
 10. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #10
  Jan 28, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,792
  Likes Received: 2,400
  Trophy Points: 280
  Dini haziruhusu kuzaa njee ya ndoa!hakuna lililo na afadhali hapo
   
 11. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #11
  Jan 28, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  FP siku hizi hatudanganyiki kabla hatujatoka hospital kurudi nyumbani tunapata majibu ya DNA kwanza kieleweke kama siyo wangu tunaagana hapo hapo hospital
   
 12. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #12
  Jan 28, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  Hiyo kwa bluu ndo inauma zaidi,yaani acha tu.......

  Nitakabiliana nalo vipi: Itategemea kwanini alifikia hiyo hatua si tu ya ku cheat bali kuwa na mtoto kabisa,pengine mi sina uwezo wa kuzaa,au nina matatizo au nimeshazaa wawili wa kike ye ataka wa kiume na mi sitaki kuzaa tena kaenda mtafuta huko nje......itategemea sababu ya kumpelekea kufanya hivyo.....ila kama hana strong reasons,kama nampenda na ana mazuri mengi kuliko hilo kosa,namsamehe,if he has nothing to offer na akafanya huo upumbavu....namhama kimoja isije kuwa alikuwa ananitafutia sababu ya kuondoka........lol:laugh:
   
 13. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #13
  Jan 28, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  Michelle mamie hiyo strong reason unayozungumzia kama kutaka mtoto wa kiume wakati wewe ni unapata wa kike tu mlizungumza pamoja?

  Kama mlizungumza mkakubaliana okay, ila kama hamkuzungumza basi ni balaa...Usisahau wanaume akaunti zetu za sababu (tena vere strong) hazijawahi kutindikiwa
   
 14. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #14
  Jan 28, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  Hawezi niambia najua kuwa anaenda tafuta mtoto nje,sema ntamuelewa,siko tayari kuwa na watoto kumi nikitafuta wa kiume.....ila ndo kama nilivyosema,hapo kuendelea na uhusiano nae itategemea mambo mengi NewDawn,kama nina sababu za kuendelea kuishi nae sawa kama sio ndo safari itakuwa imewadia.......

  Najua kwa uongo wanaume wamejaliwa,ila ndo dunia imebadilika,uongo huo uko pande zote........tena yawezekana wa kike unazidi wa kiume ni vile watu wengine hufa hawajajua walichodanganywa.......:coffee:
   
 15. T

  Topical JF-Expert Member

  #15
  Jan 28, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Uoa tu mke wa pili, tatu na nne, ya nini kuzaa nje mkuu..zaa ndani ya ndoa
   
 16. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #16
  Jan 28, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mmmmhhh....:angry:
   
 17. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #17
  Jan 28, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  zote zinaumiza. Ya pili inaumiza zaidi ila hata ya kwanza inaumiza pia hasa kama hukujua kabla kwamba mwenzio ana mtoto nje.
   
 18. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #18
  Jan 28, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  wengne dini hazruhusu kuoa mke wa pili, ingawa dini hairuhusu kuzaa nje bt kdogo jamii itaelewa
   
 19. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #19
  Jan 29, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Ndoa ni mkataba.., namba (1) mnaingia kwenye mkataba huku unajua kwamba mwenzako ana mtoto tayari kwahiyo hakuna ubaya
  namba (2) Kuzaa mkiwa kwenye ndoa ni usaliti sababu mwenza wako hategemei wewe kufanya hivyo
   
 20. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #20
  Jan 29, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Lol!
  Hiyo ya pili jamani..mmh!
  Labda kama nimemruhusu.
   
Loading...