Yes salama kabisaa...ila ni vizuri uende hospital kabla hujaamua kushika mimba.
Ha ha ha ha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu!weka picha tuone kwanza hiyo papuchi ilivyo
Yan mambo ya kitalam kabsa, unauliza public hapa na ukipewa ushaur na hata asie dr unauchukua!.Naombeni kuuliza mwanamke anaeanza kuzaa kwa mara ya Kwanza kama Ana miaka 36 kwenda juu anaweza kuzaa kwa kupush?
Na ikiwa Ni mapacha je inawezekana kupush au lazima operesheni?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sorry mi sijakuelewa.weka picha tuone kwanza hiyo papuchi ilivyo
Sorry mi sijakuelewa.
PAPUCHI ndio nini?
Yes anaweza kuzaa bila tatizo lolote.Cha muhimu asiwe na mambo mengine ya kumuweka kwenye risk ya obsttucted labour.Mfano short sture less than150cm.Naombeni kuuliza mwanamke anaeanza kuzaa kwa mara ya Kwanza kama Ana miaka 36 kwenda juu anaweza kuzaa kwa kupush?
Na ikiwa Ni mapacha je inawezekana kupush au lazima operesheni?
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kututishia bnaYes anaweza kuzaa bila tatizo lolote.Cha muhimu asiwe na mambo mengine ya kumuweka kwenye risk ya obsttucted labour.Mfano short sture less than150cm.
Pia inategemea na ukubwa na mtoto aliembeba tumboni 4kg and above ni risk.
Lakini kwa kukusaidia zaidi,kupata mtoto kwa umri huo kwa mwanamke kuna muweka ktk risk ya kuzaa mtoto mwenye downsyndrome.Ktk umri huo kuna kuwa na risk ya kupata watoto wenye complications.
Wasichana jipangeni kimaisha na kuzaa ktk umri wa kati kuzuia hayo.
Ni hayo tu kwa leo.
Cc Mzigua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naombeni kuuliza mwanamke anaeanza kuzaa kwa mara ya Kwanza kama Ana miaka 36 kwenda juu anaweza kuzaa kwa kupush?
Na ikiwa Ni mapacha je inawezekana kupush au lazima operesheni?
Sent using Jamii Forums mobile app