Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,080
- 165,197
Hivi ni wapi mnapata authority za kupangia watu maisha? Yani kufanya uzinzi kabla ya ndoa siyo Zambi ila kuzaa kabla ya ndoa ndio Zambi! Ujinga huu.
Na atoke mtu akamyoshee kidole Klyn kwa kuzaa nje ya ndoa wakati ndoa zenu njaa tupu, miaka 10 ya hujahi hata kwenda vacation angalau mikumi achilia vacation za Nassau anazokwenda Klyn.
kibongo bongo kawaida tu, mtu akibeba mimba kabla ya ndoa full mapicha picha hadi home anatimuliwa, ila akijifungua kila mtu anamtaka mtoto hata wazazi waliosusa utasikia "mlete mjukuu wangu' mjukuu my a%$$%%$
Ni uchafu wa mwisho
Ni ulimbukeni tu sio tu kwa wanawake bali hata hao wanaume wenye kusababisha hivyo...
hamnazo kabisa wanawake wanaozaa kabla ya kuolewa
You don't hava moral authority kusema hivyo shwaini wewe
Siku hizi imekuwa kama fasheni wanawake kuzaa bila ndoa ili mradi tu mmekutana na mpenzi wako kimjini mjini tu hata kwao hupajui unambebea mimba huo ni ushamba na ulimbukeni,chunguzeni hata watu wa kuzaa nao mimi nahisi wanawake wa sasa hivi mmerogwa.
Ni uchafu wa mwisho
hamnazo kabisa wanawake wanaozaa kabla ya kuolewa
18+ unabeba mimba kwa bahati mbaya?
Your trying to justify non-sense
Shwaini babu yako shamba ms.nge wewe
Ulimbukeni unajua circumstances zilizosababisha
Busy kujudge tu as if you are perfect
Kuna majitu ni majinga sana humu, hayajui hata ndani ya ndoa yanalea watoto sio wao halafu yanatembea kifuwa mbele oohh mya first born yuko Tusiime high school my second born yuko St Mary's and all blah blah.
Take it from me mimi nina marafiki zangu wa kikelakini si kimapenzi ukikaa nao utawaonea huruma wanaume wengine, imagine mtu ana mke na watoto watatu na wote siyo kwake, halafu akija hapa JF ndio hodari wa kupepeta mdomo Fusecki.
mimba mtujaze nyie
tukizaa maneno,tukitoa shida
tukitupa lawama heeee,lipi jema!!
na mtt ni baraka wala si ulimbukeni!!
I'm not trying to justify nothing here....your values,beliefs n morals sio kanuni ya maisha ya kila mtu...usitake kila unachoamini kila mtu afanye kama wewe....think critically
na ukitaka kunipinga toa hoja sio mapovu