Kuweni makini na nyama choma mnazokula

Kuweni makini na nyama choma mnazokula

Kama haiui mukide tu, kwani kuna kikao gani kilikaa kikaamua binadamu ale mbuzi na ng'ombe?
 
HARUFU.jpeg
 
Kama mtu kabila yake inamruhusu kula kwanini asile?mnyalu wa zamani utampa tahadhari hii kweli tena anakwambia nataka kale kadogodogo ndo laini
 
Ndio maana cpendi mishikaki inayowekwa kwny chelewa
 
Back
Top Bottom